ZIARA YA MH: WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS, SERA, URATIBU NA BARAZA LA WAWAKILISHI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa pili wa Rais, Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi Mheshimiwa Dk. Khalid Salum Mohammed  akitembelea ofisi za Kamisheni ya Kukabiliana na Maafa Zanzibar zilizopo Maruhubi Zanzibar.