Recent News and Updates


TAHADHARI JUU YA KIMBUNGA HIDAYA
04-05-2024 10:05:39

Kamisheni ya kukabiliana na maafa inakuarifu kuwa kuna uwezekano mkubwa wa kutokea kimbunga Hidaya kilichosababishwa na uwepo wa mkandamizo mdogo wa hewa kwenye bahari ya hindi kuanzia tarehe 3 - 6 Mei, 2024. Hivyo ni vyema wat...Read more

TAHADHARI JUU YA MVUA ZA MASIKA
18-03-2024 07:03:12

Kamisheni ya Kukabiliana na Maafa inendelea kutoa tahadhari kwa wananchi wanaoishi pembezoni  mwa maeneo yanayotuama maji kuhama hasa katika kipindi hichi cha mvua za masika.

...Read more
MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI
18-03-2024 06:03:52

Kamisheni ya Kukabiliana na Maafa kwa kushirikiana na Mamlaka ya Hali ya Hewa kanda ya Zanzibar, imeandaa Mkutano na waandishi wa habari kwa lengo la kuwapatia taarifa ya muelekeo wa Mvua za Masika za mwaka 2024.

...Read more
TAHADHARI JUU YA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA
14-11-2023 12:11:36

Kamisheni ya Kukabiliana na Maafa inaendelea kutoa tahadhari kwa wananchi wanaoishi pembezoni mwa maeneo yanayotuama maji Kuhama hasa katika kipindi hichi cha Mvua zinazoendelea kunyesha.

...Read more
KIKAO CHA WADAU MBALI MBALI KUJADILI MWELEKEO WA MVUA ZA VULI NA HATUA ZA KUCHUKULIWA
06-10-2023 07:10:34

Naibu Mkurugenzi Kamisheni ya Kukabiliana na Maafa Ndg: Muhidin Ali Muhidin ameongoza kikao cha wadau mbali mbali kujadili mwelekeo wa mvua za vuli na hatua za kuchukuliwa.

...Read more
ZIARA YA MHE: WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WAPILI WA RAIS YA KUANGALIA UTENDAJI KAZI WA VIYUO VYA MAWASILIANO NA UOKOZI KATIKA KUKABILIANA NA MAAFA
18-08-2023 13:08:39

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Sera uratibu na Baraza la wawakilishi, Mhe: Hamza Hassan Juma akipokea maelezo wakati alipotembelea kituo cha Uokozi cha KMKM kibweni.

...Read more
KIKAO CHA KAMATI TENDAJI YA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA KUTOKOMEZA KIPINDUPINDU ZANZIBAR (ZACCEP)
31-05-2023 11:05:35

Mkurugenzi Mtendaji Kamisheni ya Kukabiliana na Maafa Makame Khatib Makame akipokea taarifa ya utekelezaji wa Mpango wa kutokomeza kipindupindu kutoka kwa wajumbe wa kamati tendaji ngazi za wilaya Unguja na Pemba kwa kipindi ch...Read more

MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR AZITEMBELEA FAMILIA ZILIZOATHIRIWA NA UPEPO MKALI
12-04-2023 09:04:08

Mhe. Hemed Suleiman Abdulla Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Kamisheni ya Kukabiliana na Maafa akiwatembelea na kuwafariji wananchi walioathiriwa na upepo mkali Wilaya ya Kaskazini "A" Ung...Read more

KAMISHENI YA KUKABILIANA NA MAAFA IMETOA ELIMU KWA VIONGOZI WA MADIKO
21-03-2023 06:03:41

Mkuu wa Divisheni ya Elimu kutoka Kamisheni ya Kukabiliana na Maafa Ndg. Suleiman Kh. Suleiman akiwapatia elimu viongozi wa madiko wakati wa ukusanyaji wa taarifa za utafiti juu ya hali viashiria vya majanga vinavyotokana na ma...Read more

KIKAO KAZI CHA KUFANYA TATHMINI NA KUANDAA RAMANI YA HALI YA MAJANGA ZANZIBAR
20-03-2023 07:03:38

Wadau mbali mbali wa Masuala ya Maafa wakiwa katika kikao kazi cha kufanya tathmini na kuandaa ramani ya hali ya Majanga Zanzibar.

...Read more
KIKAO CHA KUJADILI MUOLEKEO WA MVUA ZA MASIKA
13-03-2023 08:03:47

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Ndg. Salhina Mwita Ameir akifungua Kikao cha Wadadu mbalimbali wa kukabiliana na Maafa kujadili muelekeo wa Mvua za Masika 2023 na hatua za kuchukuliwa. (picha na Abubakar M. Ib...Read more

SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR INAENDELEA KUCHUKUA HATUA ZA MSINGI KATIKA KUKABILIANA NA MAJANGA ILI KUWALINDA WANANCHI NA ATHARI ZINAZOWEZA KUJITOKEZA.
21-10-2022 10:10:38

Read more

KIKAO KAZI KUJADILI MUELEKEO WA MVUA ZA VULI ZA MWAKA 2022 NA TAHADHARI JUU YA MARADHI YA EBOLA
30-09-2022 12:09:42

Mapema leo, Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Ndugu Salhina Mwita Ameri ameongoza kikao kazi cha kujadili Mwelekeo wa Mvua za vuli za Mwaka 2022 na tahadhari juu ya Ugonjwa wa Ebola kilichofanyika Ofisi za Kamis...Read more

MAKABIDHIANO YA VIFAA VYA HABARI KWA AJILI YA KITUO CHA OPERESHENI NA MAWASILIANO YA DHARURA
13-09-2022 07:09:42

Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe. Hamza Hassan Juma akipokea vifaa vya Habari kwa ajili ya Kituo cha Operesheni na Mawasiliano ya Dharura kutoka  kwa Shirika la Afya Duniani WHO  Tarehe 02 Septemba 2...Read more

KUGHAIRISHWA KWA SHUGHULI YA UZINDUZI WA VIJIJI VYA MAKAAZI YA WANANCHI WALIOATHIRIWA NA MVUA ZA MASIKA ZA MWAKA 2017, NUNGWI.
05-11-2021 08:11:59

Read more