![]() |
ZANZIBAR DISASTER MANAGEMENT COMMISSION |
![]() |
---|
MAFUNZO KWA WADAU WA KUKABILIANA NA MAAFA JUU YA MATUMIZI YA MFUMO WA ZDMIS |
---|
![]() |
Mkurugenzi Mtendaji Kamisheni ya Kukabiliana na Maafa Ndg: Makame Khatib Makame akiongoza mafunzo ya wadau juu ya matumizi ya mfumo wa ZDMIS yaliyofanyika katika ukumbi wa Kamisheni Maruhubi Zanzibar. |