KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA MAAFA DUNIANI 2024

Maadhimisho ya Siku ya Maafa duniani yanafanyika kila mwaka tarehe 13 oktoba. kwa mwaka huu kamisheni ya kukabiliana na Maafa Zanzibar waadhimisha siku ya tarehe 16 Oktoba 2024.