TAHADHARI JUU YA KIMBUNGA HIDAYA

Kamisheni ya kukabiliana na maafa inakuarifu kuwa kuna uwezekano mkubwa wa kutokea kimbunga Hidaya kilichosababishwa na uwepo wa mkandamizo mdogo wa hewa kwenye bahari ya hindi kuanzia tarehe 3 - 6 Mei, 2024. Hivyo ni vyema watumiaji sote wa bahari tukachukua tahadhari katika kipindi hiki.