MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI

Kamisheni ya Kukabiliana na Maafa kwa kushirikiana na Mamlaka ya Hali ya Hewa kanda ya Zanzibar, imeandaa Mkutano na waandishi wa habari kwa lengo la kuwapatia taarifa ya muelekeo wa Mvua za Masika za mwaka 2024.