TAHADHARI JUU YA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA

Kamisheni ya Kukabiliana na Maafa inaendelea kutoa tahadhari kwa wananchi wanaoishi pembezoni mwa maeneo yanayotuama maji Kuhama hasa katika kipindi hichi cha Mvua zinazoendelea kunyesha.