![]() |
ZANZIBAR DISASTER MANAGEMENT COMMISSION |
![]() |
---|
KIKAO CHA WADAU MBALI MBALI KUJADILI MWELEKEO WA MVUA ZA VULI NA HATUA ZA KUCHUKULIWA |
---|
![]() |
Naibu Mkurugenzi Kamisheni ya Kukabiliana na Maafa Ndg: Muhidin Ali Muhidin ameongoza kikao cha wadau mbali mbali kujadili mwelekeo wa mvua za vuli na hatua za kuchukuliwa. |