ZIARA YA MHE: WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WAPILI WA RAIS YA KUANGALIA UTENDAJI KAZI WA VIYUO VYA MAWASILIANO NA UOKOZI KATIKA KUKABILIANA NA MAAFA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Sera uratibu na Baraza la wawakilishi, Mhe: Hamza Hassan Juma akipokea maelezo wakati alipotembelea kituo cha Uokozi cha KMKM kibweni.