KIKAO CHA KAMATI TENDAJI YA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA KUTOKOMEZA KIPINDUPINDU ZANZIBAR (ZACCEP)

Mkurugenzi Mtendaji Kamisheni ya Kukabiliana na Maafa Makame Khatib Makame akipokea taarifa ya utekelezaji wa Mpango wa kutokomeza kipindupindu kutoka kwa wajumbe wa kamati tendaji ngazi za wilaya Unguja na Pemba kwa kipindi cha Januari hadi Machi 2023.