MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR AZITEMBELEA FAMILIA ZILIZOATHIRIWA NA UPEPO MKALI

Mhe. Hemed Suleiman Abdulla Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Kamisheni ya Kukabiliana na Maafa akiwatembelea na kuwafariji wananchi walioathiriwa na upepo mkali Wilaya ya Kaskazini "A" Unguja.