KAMISHENI YA KUKABILIANA NA MAAFA IMETOA ELIMU KWA VIONGOZI WA MADIKO

Mkuu wa Divisheni ya Elimu kutoka Kamisheni ya Kukabiliana na Maafa Ndg. Suleiman Kh. Suleiman akiwapatia elimu viongozi wa madiko wakati wa ukusanyaji wa taarifa za utafiti juu ya hali viashiria vya majanga vinavyotokana na maendeleo ua Uchumi wa Buluu Zanzibar ili Kukabiliana vyema na majanga yanayoweza kujitokeza.