ZANZIBAR DISASTER MANAGEMENT COMMISSION |
---|
KIKAO KAZI KUJADILI MUELEKEO WA MVUA ZA VULI ZA MWAKA 2022 NA TAHADHARI JUU YA MARADHI YA EBOLA |
---|
Mapema leo, Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Ndugu Salhina Mwita Ameri ameongoza kikao kazi cha kujadili Mwelekeo wa Mvua za vuli za Mwaka 2022 na tahadhari juu ya Ugonjwa wa Ebola kilichofanyika Ofisi za Kamisheni ya Kukabiliana na Maafa Maruhubi Mjini Zanzibar. |