MAKABIDHIANO YA VIFAA VYA HABARI KWA AJILI YA KITUO CHA OPERESHENI NA MAWASILIANO YA DHARURA

Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe. Hamza Hassan Juma akipokea vifaa vya Habari kwa ajili ya Kituo cha Operesheni na Mawasiliano ya Dharura kutoka  kwa Shirika la Afya Duniani WHO  Tarehe 02 Septemba 2022 katika Ofisi za Kamisheni ya Kukabiliana na Maafa Maruhubi Mjini Zanzibar