MADUKA KWA AJILI YA BIASHARA

OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS, SERA, URATIBU NA BARAZA LA WAWAKILISHI KUPITIA KAMISHENI YA KUKABILIANA NA MAAFA INAWATANGAZIA WANANCHI WOTE KWAMBA INAKODISHA MADUKA YAKE YALIOPO KATIKA KIJIJI CHA NUNGWI UNGUJA NA TUMBE KWA UPANDE WA PEMBA KWA AJILI YA KUFANYIA BIASHARA.

 

FOMU ZA MAOMBI ZINAPATIKANA KATIKA OFISI ZA KAMISHENI YA KUKABILIANA NA MAAFA ZILIZOPO MARUHUBI UNGUJA NA OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS TIBIRINZI PEMBA AU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KUPITIA NAMBARI YA SIMU 0772904480.

 

TAREHE YA MWISHO YA KUPOKEA MAOMBI NI TAREHE 30 SEPTEMBA, 2021 WAKATI WA SAA ZA KAZI.

 

NYOTE MNAKARIBISHWA

TANGAZO HILI LIMETOLEWA NA

KAMISHENI YA KUKABILIANA NA MAAFA ZANZIBAR.